Mtazamo
IQNA – Mkataba wa Amani wa Hudaybiyyah uliosainiwa mwaka wa 6 AH (628 Miladia), uligeuka kuwa hatua ya kihistoria iliyoimarisha Uislamu kwa kubadilisha mvutano mkubwa kuwa mafanikio ya kidiplomasia yenye athari za muda mrefu, kwa mujibu wa msomi mmoja kutoka Iran.
Habari ID: 3480926 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/11
IQNA – Mtaalamu wa masuala ya kimataifa ameuelezea mpango wa kuanzishwa kwa bunge la Qurani la ulimwengu wa Kiislamu kama ramani ya njia kwa Ummah wa Kiislamu kuelekea umoja.
Habari ID: 3480624 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02
IQNA – Mkuu wa Shirika la Iran Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) ametaja diplomasia ya Qur'ani kama chombo kikuu cha kuleta Ummah Wahida (Ummah wa Kiislamu ulioungana).
Habari ID: 3480588 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/24
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran, Hamed Shakernejad, amesisitiza umuhimu wa diplomasia ya Qur'ani, akiiita daraja kati ya mataifa.
Habari ID: 3480389 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/17
IQNA – Wazungumzaji katika jukwaa lililofanyika katika Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran wamesisitiza haja ya kuzingatia kwa makini mada ya diplomasia ya Qur’ani katika upanuzi wa uhusiano kati ya nchi za Kiislamu. Jukwaa lililoitwa "Jukumu la Diplomasia ya Qurani Katika Kuwezesha Mahusiano ya Kitamaduni ya Ulimwengu wa Kiislamu" liliandaliwa katika sehemu ya kimataifa ya maonyesho siku ya Ijumaa jioni.
Habari ID: 3480326 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08
IQNA – Qari na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Iran, Ustadh Hamed Shakernejad, ametajwa kuwa balozi wa kimataifa wa Qur’an wa Iran.
Habari ID: 3480323 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuunda umoja na kujitahidi kuungana ili kufikia ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3479894 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/13
Ustaarabu
IQNA - Qur'ani Tukufu ni mwanzilishi katika kukuza uhusiano kati ya imani za Mungu mmoja, afisa wa Iran amesema.
Habari ID: 3479659 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Maafisa kutoka Iran na Malaysia wamesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Qur'ani.
Habari ID: 3479630 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Kongamano lijalo la Risalatallah linalenga kueneza mafundisho ya Qur'ani Tukufu duniani, amesema mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu.
Habari ID: 3479592 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 10 la mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman zimefanyika huku washindi wakipokea tuzo zao.
Habari ID: 3478945 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07
Diplomasia ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Kuanzisha Shirikisho la Kimataifa la Mashindano ya Qur'ani Tukufu kutakuwa miongoni mwa mada ambazo zimejadiliwa katika mkutano wa kimataifa uliofanyika leo Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3478157 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA – Mji mkuu wa Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran, Tehran umeratibiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu baadaye wiki hii ambao lengo la lake niuendeleza na kuimarisha diplomasia ya Qur'ani.
Habari ID: 3478125 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01
Harakati za Qur'ani Kimataifa
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Malaysia amesema nchi hizo mbili zinatarajia kuendelea kutumia 'Diplomasia ya Qur'ani Tukufu' kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande hizo mbili.
Habari ID: 3476435 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20